1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.12.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S15 Desemba 2016

Mpango wa kuyahama maeneo ya waasi mjini Aleppo, Syria unaendelea hii leo// Iran na Urusi washirika wakubwa wa utawala wa Bashar al-Assad nchini Syria wanaupongeza ukombolewaji wa mji wa Aleppo kuwa hatua muhimu kuelekea uhuru kamili wa taifa hilo// Viongozi wa nchi na serikali wanachama wa Umoja wa ulaya hii leo wanakutana mjini Brussels, Ubelgiji kwa mkutano wa siku moja.

https://p.dw.com/p/2UJCG