1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.12.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S15 Desemba 2016

Msafara wa kwanza wa magari ya wagonjwa yaliobeba kundi la kwanza la watu waliojeruhiwa umeondoka mashariki mwa Aleppo// Mkutano wa Umoja wa ulaya ambapo viongozi 27 wa mataifa wanachama wa muungano huo wanatarajiwa kuafikia makubaliano kuhusu mazungumzo ya kujiondoa kwa Uingereza// Mkurugenzi wa mtandao wa kijamii wa Jamii Forums, Maxence Melo bado anaendelea kushikiliwa na polisi.

https://p.dw.com/p/2ULAx