1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.11.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S15 Novemba 2016

Rais wa Marekani Barack Obama amewasili hii leo mjini Athens, Ugiriki// Polisi nchini Ujerumani wamefanya msako katika maeneo 200 kwenye majimbo 10 hapa nchini katika jitihada za kuwasaka wanachama wa kundi la Kiislamu la DWR// Umoja wa Mataifa una wasiwasi juu ya sheria mpya kuhusu vyombo vya habari vya kigeni katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

https://p.dw.com/p/2SihY