1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.11.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S15 Novemba 2016

Rais Joseph Kabila ameahidi kuacha madaraka kwa njia ya kidemokrasia// Waziri wa Mambo ya nje ya Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, yuko ziarani nchini Uturuki// Uingereza, haina mkakati maalum katika mpango wake wa kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya// Ugonjwa wa kimeta umelipuka katika eneo la Monduli lililopo karibu na hifadhi za Tarangire, Manyara na Ngorongoro.

https://p.dw.com/p/2Sk6u