1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.06.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S15 Juni 2017

Matokeo ya uchaguzi wa Uingereza wa Junii nane yanasemekana kuwa yalimnyima Waziri Mkuu Theresa May ridhaa ya umma katika kutafuta kile kinachosemekana kuwa ni kujiondoa katika Umoja wa Ulaya chini ya masharti magumu badala ya masharti mepesi// Tanzania imekubali kukaa meza ya majadiliano na kampuni kubwa ya uchimbaji madini ya Canada, Barrick Gold.

https://p.dw.com/p/2ejcd