1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.05.2018 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S15 Mei 2018

Maandamano makubwa yanatarajiwa tena leo hii, ikiwa ni baada ya jeshi la Israel kuwauwa Wapelestia 59// Waziri wa mambo ya nje wa Iran Javad Zarif, hivi leo amewasili mjini Brussels// Rais Joseph Kabila ameidhinisha majina ya majaji 3 miongoni mwa 9 wa mahakama ya katiba.

https://p.dw.com/p/2xkHR