Waholanzi leo wanapiga kura ya kuchagua wabunge/ Macho na masikio ya Wakenya yanaelekezwa katika jengo la Bunge mjini Nairobi, ambako rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta anatarajiwa mchana wa leo kutoa hotuba inayoelezea hali ya taifa/ Baada ya kumalizika mkutano mkuu maalumu wa chama tawala nchini Tanzania chama cha mapinduzi CCM kimeazimia kufanya mabadiliko mengine makubwa ndani ya chama hicho.