1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.03.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S15 Machi 2017

Wapiga kura wa Uholanzi wanataremka vituoni hii leo kulichagua bunge la viti 150// Asilimia 69 ya wakaazi wa Kaskazini mwa England nchini Uingereza walipiga kura kuunga mkono kujitowa kwa Uingereza katika Umoja wa Ulaya hiyo ikiwa ni idadi ya kiwango kikubwa kabisa// Kwa kasi kubwa taifa la Djibouti limekuwa eneo muhimu katika makabiliano dhidi ya makundi ya waasi wenye itikadi kali.

https://p.dw.com/p/2ZBcI