1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.02.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S15 Februari 2018

Chama cha African National Congress (ANC) cha nchini Afrika Kusini kimemteua Cyril Ramaphosa kuwa rais mpya wa Afrika Kusini //Waziri mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn amejiuzulu huku kukiwa na maandamano kwa mujibu wa kituo cha habari cha serikali nchini humo.

https://p.dw.com/p/2slDK