1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.02.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S15 Februari 2017

Washington- Benjamin Netanyahu anaratajiwa leo kufanya mazungumzo na Donald Trump// Mashirika ya kijasusi ya Marekani pamoja na bunge la nchi hiyo yataendelea kufanya uchunguzi kuhusiana na madai ya Urusi kujihusisha katika uchaguzi wa Marekani mwaka jana// Kenya- Mahakama ya Rufaa imewaachia huru viongozi 7 wa chama cha madaktari waliohukumiwa kifungo cha mwezi mmoja gerezani.

https://p.dw.com/p/2Xaiw