1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.12.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S14 Desemba 2017

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May anaelekea mjini Brussels hii leo ambapo atawahimiza viongozi wa Umoja wa Ulaya kuidhinisha makubaliano ya kusogeza mbele mazungumzo ya Brexit katika awamu ya pili// Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti yake hii leo inayosema visa vingi vya unyanyasaji wa kingono vilijitokeza katika uchaguzi wa mwaka 2017 nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/2pMhj