1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.12.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S14 Desemba 2016

Mipango ya kuwahamisha waasi toka mitaa ya Aleppo imekwama kutokana na mapigano kuripuka upya// Viongozi wa vyama vya Kijani Afrika Mashariki, wamevilaumu vyombo vya habari katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kuchochea machafuko wakati wa uchaguzi mkuu kwenye mataifa hayo.

https://p.dw.com/p/2UGyw