1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.12.2016 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S14 Desemba 2016

Ripoti ya shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa, UNICEF inasema kuwa karibu watoto milioni 2.2 nchini Yemen wameathiriwa na utapiamlo// Idadi ya wanawake watakaowania viti vya kisiasa kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani nchini Kenya huenda ikaongezeka maradufu.

https://p.dw.com/p/2UElr