1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.11.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S14 Novemba 2017

Mfalme Salman wa Saudi Arabia amemkaribisha mkuu wa kanisa la kikatoliki la madhehebu ya Maronite nchini Libnan, kardinali Beshara Rai// Kikao cha kesi ya urais inayopinga kuchaguliwa kwa rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kimeanza leo// Leo ni siku ya kimataifa ya kuhamasisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa kisukari.

https://p.dw.com/p/2nciM