1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.07.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S14 Julai 2017

Nchini Rwanda, wagombea wa nafasi ya urais leo hii wanaanza kampeni rasmi kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa taifa hilo unaotarajiwa kufanyika Agosti 4// Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameshiriki katika gwaride la jadi la Julai 14-siku kuu ya taifa ya ukombozi wa Bastille mwaka 1789, pamoja na rais wa Marekani Donald Trump.

https://p.dw.com/p/2gWxW