1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.04.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S14 Aprili 2017

Majeshi ya Marekani jana yalishambulia mfumo wa njia za chini ya ardhi za kundi la Dola la Kiislamu mashariki mwa Afghanistan, kwa kutumia kile ilichokiita "mama wa mabomu yote", ikiwa ni bomu kubwa kabisa duniani licha ya kwamba si la silaha za kinyuklia// Mzozo kati ya Marekani na Korea ya kaskazini unazidi makali.

https://p.dw.com/p/2bFHw