Baada ya kuwa madarakani kwa chini ya miezi mitatu, Rais Donald Trump amebadili ghafla msimamo wake kuhusu masuala kadhaa ya sera ya kigeni kuanzia uhusiano na Marekani na Urusi na China hadi thamani ya Jumuiya ya kujihami NATO// Mustakabali wa uhusiano kati ya Umoja wa Ulaya na Uturuki utakuwa mashakani wakati Rais Recep Tayyip Erdogan atakapowaomba wapiga kura kumpa mamlaka zaidi.