1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.03.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S14 Machi 2018

Kansela Angela Merkel anaanza mhula wake wa nne madarakani bila ya uungaji mkono kamili wa wabunge wa vyama vinavyounda serikali ya muungano //Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ametangaza hatua kadhaa dhidi ya Urusi, ikwemo kuwafukuza wanadiplomasia 23 wa nchi hiyo

https://p.dw.com/p/2uKWg