Mshauri mkuu wa rais Donald Trump wa Marekani, Michael Flynn, amejiuzulu// Kansela wa Ujerumani Angela Merkel anatarajiwa kumshinikiza waziri mkuu wa Tunisia Youssef Chahed kuharakisha kurejeshwa nyumbani kwa watu waliokuwa wanatafuta hifadhi// Zoezi la mwisho la kuwasajili wapigaji kura nchini Kenya kabla ya uchaguzi unaotarajiwa Agosti 8, linakamilika leo.