1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.02.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S14 Februari 2017

Wakati Tanzania ikionekana kuwa iko kwenye vita vikubwa dhidi ya madawa ya kulevya, mwandishi wa habari mkongwe nchini humo, Jenerali Ulimwengu, anasema hakuna jipya la kuwashangaza watu// Zaidi ya watu milioni 12.2 wamejisajili kwenye bima ya afya ya Obamacare nchini Marekani// Wizara ya afya ya Uganda inapendekeza kuwezesha watoto kuanzia umri wa miaka kumi kutumia huduma za mpango wa uzazi.

https://p.dw.com/p/2XW57