1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.10.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S13 Oktoba 2017

Polisi ya Kenya imeawatawanya waandamanaji wa NASA katika maeneo ya Mombasa, Kisumu na Nairobi// Kiongozi wa kundi la vyama vya upinzani ”RASSEMBLEMENT" katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Felix Tshisekedi ametowa mwito kwa wananchi kupinga pendekezo la tume huru ya uchaguzi la kuahirisha kwa miaka miwili uchaguzi.

https://p.dw.com/p/2lmE6