1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.10.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S13 Oktoba 2016

Madai ya maafisa wa sheria katika jimbo la Saxony hapa Ujerumani kuwa walifanya kila wawezalo kumzuia mshukiwa wa Ugaidi Jaber al Bakr kujiua// Kundi la kigaidi la Boko Haram limewaachilia huru wasichana 21 waliotekwa nyara// Serikali ya Kongo imelezea kwamba hali ya kisiasa nchini humo siyo mbaya// Wajumbe zaidi ya 1000 kutoka mataifa 197 wameanza kongamano la mazingira mjini Kigali.

https://p.dw.com/p/2RCVH