1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.07.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S13 Julai 2017

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson amemaliza ziara yake katika Ghuba ya Uarabu, bila dalili zozote za mafanikio katika kuusuluhusha mzozo wa kisiasa kati ya Qatar na majirane zake// Emmanuel Macron na Angela Merkel wamedhihirisha kwa mara nyengine tena mshikamano madhubuti ulioko kati yao, walipofungua mkutano wa baraza la mawaziri wa nchi hizo mbili mjini Paris.

https://p.dw.com/p/2gUt4