1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.07.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S13 Julai 2017

Viongozi wa mataifa saba ya Umoja wa Ulaya na sita ya magharibi mwa Balkan wamekutana katika mji wa kaskazini mashariki mwa Italia,Trieste kujadili namna ya kushirikiana zaidi na Umoja wa ulaya// Kiongozi wa kiimla yupo katika harakati za kumiliki makombora ya nyuklia yanayotishia fukwe za Marekani// Kumesalia takriban wiki 4 kabla ya wakenya milioni 19.6 kumiminika kwenye vituo vya kupiga kura.

https://p.dw.com/p/2gRjV