1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.04.2017 Taarifa ya Habari Asubuhi

V2 / S12S13 Aprili 2017

Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani Rex Tillerson amesema mahusiano kati ya Marekani na Urusi yamefikiwa kiwango cha chini // Urusi imetumia kura ya turufu kulipinga azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu Syria // Aliyekuwa Rais wa Iran Mahmoud Ahmadinejad amewasilisha nyaraka kugombea uchaguzi wa rais wa mwezi ujao

https://p.dw.com/p/2b9lY