1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.03.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S13 Machi 2018

Uingereza itakuwa na kikao cha dharula leo kuhusiana na tukio la kupewa sumu jasusi wa zamani wa Urusi katika ardhi ya Uingereza baada ya Marekani na Jumuiya ya kujihami ya NATO kuunga mkono madai ya Uingereza ya kuihusisha Urusi na jaribio hilo la mauaji// Vikosi vya jeshi la Uturuki vinaripotiwa kuuzingira mji wa Afrin pamoja na vijiji 90, vikiwa na watu wapatao 700,000 nchini Syria.

https://p.dw.com/p/2uF3c