1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.02.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S13 Februari 2018

Syria: Wapiganaji wa Kikurdi wanaoungwa mkono na Marekani wanapata msaada usio wa moja kwa moja kutoka kwa upande usio rasmi katika mapambano yao dhidi ya vikosi vya Uturuki/ Cameroon: Rais Biya anaesherehekea miaka 85 ya kuzaliwa katika wakati ambapo changamoto kuhusu usalama zinazidi kuongezeka katika nchi itakayoitisha uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2018/ Kenya: Teknolojia la Hydroponics

https://p.dw.com/p/2sa13