Kenya-Chama tawala cha Jubilee kimezindua rasmi zoezi la kuwasajili wanachama wake kama sehemu ya matayarisho ya kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao// Rais wa Tanzania John Magufuli amevionya vyombo vya habari alivyosema vinapotosha ukweli na kuleta uchochezi nchini humo// Malta, Libya- serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa mataifa haijakubaliana na mapendekezo yaliotolewana Italia.