1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.01.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S13 Januari 2017

Katika kivuli cha Msikiti wa Al-Aqsa katika Mji Mkongwe wa Jerusalem, kunapatikana ''Mtaa wa Waafrika'', makaazi ya jamii ndogo isiyojulikana sana/ kukausha eneo kubwa la kinamasi lililoko barani Afrika ya Kati kutasababisha hatari ya mabadiliko ya tabia nchi/ Ujerumani imeingia katika mjadala mkali wa umma kufuatia hatua yake ya kuwarudisha makwao wahamiaji haramu kutoka nchi za Afrika Kaskazini

https://p.dw.com/p/2VkAV