1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.11.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S11 Novemba 2016

Waandamanaji wameteremka majiani katika kila pembe ya Marekani kwa siku ya pili kulalamika dhidi ya kuchaguliwa Donald Trump kuwa rais wa Marekani// Ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, umeanza ziara yake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo// Kenya inatarajia kuingia katika kitabu cha kumbukumbu cha Guiness Book of Records kwa kupanda miche milioni 5 ya miti.

https://p.dw.com/p/2SZdj