Serikali nchini Kenya imepiga marufuku maandamano kati kati ya miji ya Nairobi, Kisumu na Mombasa kwa sababu ya usalama wa wananchi na mali// Vyama viwili vilivyokuwa katika uhasama kwa muda mrefu huko Palestina,Fatah na Hamas leo vimefikia maridhiano ya kumaliza tafauti zao.