1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.10.2016 Matangazo ya asubuhi

TSA / S09S12 Oktoba 2016

Kampeni za kuwania urais nchini Marekani za Hillary Clinton zinaweza kuwa zinakabiliwa na kitisho// Mfumo wa elimu nchini Uturuki umeathiriwa kwa kiasi kikubwa na jaribio la mapinduzi la Julai 15 2016// Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inapanga kubadilisha mashamba yote makuu ya kilimo kuwa ya umma// Kuwatunza wazee katika mataifa mengi barani Afrika kunatazamwa kama jambo la bahati.

https://p.dw.com/p/2R8Vj