1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.05.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S12 Mei 2017

Mawaziri wa fedha wa nchi saba zilizoendelea zaidi kiuchumi na kiviwanda duniani G7 wanakutana leo nchini Italia// Rais mteule wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema yuko tayari kuzungumza na wanasiasa wanaoelemea siasa za kihafidhina.

https://p.dw.com/p/2crZO