1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.02.2018 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S12 Februari 2018

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani, Rex Tillerson yuko ziarani nchini Misri// Raia wa Afrika Kusini wanataka kumalizika mkwamo wa kisiasa nchini humo// Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO, limesema kuwa litaelekeza nguvu zake katika kudhibiti dawa bandia na zile zisio na viwango barani Afrika.

https://p.dw.com/p/2sYRp