1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.01.2018 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S12 Januari 2018

Umoja wa Mataifa umemshutumu rais wa Marekani Donald Trump kuhusiana na matamshi yake dhidi ya Haiti na nchi za bara la Afrika kuwa ni nchi za uvundo// Mgogoro wa kidiplomasia baina ya Misri na Sudan umeingia katika ugomvi wa muda mrefu juu ya ujenzi wa bwawa unaofanywa na Ethiopia katika mto Nile.

https://p.dw.com/p/2qlqt