1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.01.2018 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S12 Januari 2018

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema vyama vikuu nchini Ujerumani bado vinakabiliwa na viunzi vikubwa kuruka kabla ya kufikia makubaliano mapya ya kuunda serikali// Dawa bandia zinasemekana kuingia kwa wingi katika soko la madawa barani Afrika.

https://p.dw.com/p/2qjRo