1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.01.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S12 Januari 2017

Rais Mteule wa Marekani Donald Trump amefanya mkutano wa kwanza na waandishi wa habari na kuelezea masuala kadhaa juu ya mahusiano yake na Urusi/ Mkutano wa waandishi habari wa Donald Trump ulikuwa tangazo la wazi la vita dhidi ya vyombo vya habari vinavyommkosoa/ Msikilizaji nchini Kenya kumeundwa muungano mpya wa kisiasa wa upinzani utakaokabiliana na chama cha Jubilee katika uchaguzi mkuu ujao.

https://p.dw.com/p/2Vhdj