1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.11.2016 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S11 Novemba 2016

Sera za kibiashara za Rais mteule wa Marekani Donald Trump zinatarajiwa kusababisha athari kubwa katika ulimwengu wa kiuchumi na kibaishara// Ukame unaendelea kuwapa changamoto nyingi wafugaji wa nchini Tanzania// Katika ulimwengu wa chini kwa chini kundi la wadukuzi kutoka nchini Urusi linaendeleza ulaghai na wizi kupitia mtandaoni.

https://p.dw.com/p/2SWwR