1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.10.2016 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S09S11 Oktoba 2016

Kwa mujibu wa kura za maoni nchini Ufaransa, umaarufu wa rais wa zamani wa nchi hiyo na ambaye amesema anawania tena wadhifa huo, Nicolas Sarkozy, umeendelea kushuka// Dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya mtoto wa kike hii leo tarehe 11 mwezi Oktoba// Wataalamu wa uhandisi wa maji kutoka Ujerumani wapo nchini Kenya kuwapa mafunzo wenzao wa huko juu ya teknolojia mpya ya kudhibiti majitaka.

https://p.dw.com/p/2R6Ht