1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.08.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S11 Agosti 2017

Nchini Kenya, tume ya uchaguzi na mipaka, IEBC bado haijatangaza matokeo rasmi ya uchaguzi wa urais// Kundi linalojiita Dola la Kiislamu linaendelea kuhimiza na kuwezesha mashambulizi duniani kando na kutoa misaada ya kifedha kwa wafuasi wao// Kiongozi wa Korea ya Kaskazini ana mkakati anaoufuata bila ya hofu yoyote.

https://p.dw.com/p/2i5nS