1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.06.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S11 Juni 2018

Dunia inasubiri kwa hamu mkutano kati ya Trump na Kim/ Haider al-Abadi - kuna njama dhidi ya demokrasia Iraq/ Wimbi la mauaji lazusha mashaka ya kiusalama Uganda> Mahojiano/ Tanzania: Mamlaka ya mawasiliano kufunga mitandao ya kijamii inayotoa huduma kupitia majukwaa ya blogi na televisheni za mitandaoni na ambayo imeshindwa kufuata utaratibu> Mahojiano/ Mkutano wa Jukwaa la vyombo vya habari DW

https://p.dw.com/p/2zJH1