1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.05.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S11 Mei 2018

Rais Assad ameitoa kauli hiyo katika mahojiano na gazeti moja la Ugiriki na kusema kuwa mapigano ya Syria ni zaidi ya 'vita baridi'// Kamati ya kuwatetea waandishi wa Habari CPJ na mashirika mengine 65 ya kiraia yamemwandikia barua rais wa Tanzania John Magufuli, kuelezea wasiwasi wao juu ya ongezeko la ukiukwaji wa haki za binadamu.

https://p.dw.com/p/2xXNX