Kamati ya masuala ya ujasusi katika Baraza la Seneti imetoa hati ya kumtaka aliyekuwa mshauri wa usalama wa Trump Michael Flynn// Bunge nchini Kenya limepigia kura kwa wingi kuunga mkono mswaada wa fedha ambao ukipitishwa utawezesha kushusha gharama ya juu ya maisha.