Polisi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imewatia mbaroni watu kadhaa kwa kukiuka marufuku ya maandamano dhidi ya rais Joseph Kabila// Mfalme wa Qatar Tamim bin Hamad Al Thani ambaye yuko katika ziara rasmi nchini Kenya leo amefanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta ambapo wametia saini mikataba ya ushirikiano.