1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.01.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S11 Januari 2017

Rais Barack Obama amewaaga Wamarekani na ulimwengu mzima kwa mara ya mwisho akiwa kama rais// Serikali ya Kenya leo imetoa taarifa ya kutisha kuhusu idadi ya makundi ya vijana wanaopewa silaha kwa lengo la kuvuruga amani wakati nchi hiyo inapojiandaa kwa uchaguzi mkuu.

https://p.dw.com/p/2Vc1E