Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amekutana na mwanamfalme wa Saudi Arabia mjini Riyadh katika kile kilichoonekana kuwa ziara ya ghafla nchini humo// Rais wa Marekani Donald Trump amewaeleza viongozi wanaoshiriki katika mkutano wa kilele wa ushirikiano wa kiuchumi wa nchi za Asia na Pasifiki, APEC, kuwa Marekani imepata matatizo katika mikataba iliyopita na sasa itachukua mwelekeo mwingine.