Katika mzozo wa Lebanon unaoendelea tangu alipojiuzulu waziri mkuu wa nchi hiyo Saad al Hariri, Waziri wa mambo ya nje ya Ujerumani Sigmar Gabriel amezungumza na mwenzake wa Saudi Arabia kumwelezea wasiwasi uliopo wa kuzuka kwa machafuko nchini Lebanon// Serikali ya Burundi imesema haitoshirikiana na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC.