1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.11.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S10 Novemba 2017

Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania na Yoweri Museveni wa Uganda wamefungua kituo cha pamoja cha huduma za mpakani huko Mutukula, Uganda na hatua hii inatarajiwa kufanya biashara baina ya nchi hizo mbili kuwa bora zaidi// Rais wa Misri amesema kushindwa kwa kundi la IS nchini Iraq na Syria huenda kukawafanya wapiganaji wa kundi hilo kuelekea Libya na baadaye hata waingie katika taifa lake Misri.

https://p.dw.com/p/2nOMM