1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.10.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S10 Oktoba 2016

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amewasili Niger, kituo cha pili cha ziara yake ya siku tatu barani Afrika// Serikali a Ethiopia imeshutumu kuwepo kwa nguvu kutoka nje zinazoongeza fukuto la maandamano katika mkoa wa Oromia// Ufaransa inataka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, kuchunguza mashambulizi yanayofanywa katika mji wa Aleppo nchini Syria.

https://p.dw.com/p/2R5hc