1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.08.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S10 Agosti 2017

Upinzani mkuu nchini Kenya unaishinikiza tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kumtangaza mgombea wao Raila Odinga kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha urais. NASA inashikilia Raila anaongoza kulingana na matokeo ya muda// Kenya-Wagombea wa Urais wameanza kukubali kushindwa katika mbio za kuwania uraisi licha ya kwamba upande wa upinzani wanayapinga wakidai kumekuwepo na udanganyifu.

https://p.dw.com/p/2i27x